Wanafunzi wa sekondari wa shule ya wasichana Baramba iliyopo wilayani Ngara wakipandisha bendera ya Jumuiya ya Africa Mashariki. |
Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bugene wakipokeaa bendera ya jumuiya ya Africa Mashariki
|
Wanafunzi wa Bunazi Sekondari iliyopo wilayani Missenyi wakiwa katika picha ya pamoja wakipokea bendera kutoka kwenye jumuiya ya Africa mashariki |
Hao wa ni wanafunzi ni wa shule ya sekondari ya Kaisho iliyopo wilayani Kyerwa ikumbukwe shule nne zimeteuliwa kutoa elimu ya hamasa juu |
No comments:
Post a Comment