Tuesday 23 July 2013

UNESCO YAWATAKA WATENDAJI WA REDIO ZA KIJAMII WILAYANI KARAGWE KUFANYA KAZI KWA KUFUATA MAADILI 

 
Mshauri Mwelekezi masuala ya utawala bora Bw. Wilbert Kitima akiendesha mafunzo kwa washiriki wa Redio Jamii yaliyofanyika mjini Kayanza, wilayani Karagwe mkoa wa Kagera na kumalizika mwishoni mwa Juma. Kushoto ni Mshauri wa Radio Jamii kutoka UNESCO Rose Haji Mwalimu

No comments:

Post a Comment