Saturday 27 July 2013

Rais Kikwete aendelea na ziara yake mkoani Kagera

Rais kikwete akikata utepe wa kuzindua rasmi ujenzi wa barabara ya kutoka kagoma-lusahunga wilayani Biharamulo

 Rais Kikwete akiongea na  wananchi kwenye sherehe za kuzindua mradi wa umeme vijijini katika kijiji cha Nyaishozi katika wilaya ya karagwe

Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa wanyambo na kukabidhiwa mgolole na silaha za jadi za wanyambo katika sherehe za kuzindua wilaya mpya ya kyerwa

 Rais Kikwete akisimikwa kuwa chifu wa wanyambo na kukabidhiwa mgolole na silaha za jadi za wanyambo katika sherehe za kuzindua wilaya mpya ya kyerwa
 Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya kwerwa
 Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya kwerwa
 Umati uliojitokeza katika sherehe za uzinduzi wa wilaya mpya ya kwerwa
 Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama  kwa muda kuwasalimia wilayani Karagwe akielekea   Rusumo kizindua kivuko cha Ruvuvu
Wananchi wakimshangilia Rais Kikwete aliposimama  kwa muda kuwasalimia wilayani Karagwe akielekea   Rusumo kizindua kivuko cha Ruvuvu
 Kivuko cha zamani kilichokuwa kikitumiwa na na wananchi wa ngara kuvuka mto Rusumo
Kivuko kipya cha MV Ruvuvu katika Mto Rusumo kilichozinduliwa na Rais Kikwete

 Rais Kikwete akishiriki kupiga ngoma ya kikundi cha utamaduni cha wilayani Ngara baada ya uzinduzi wa kivuko cha Mv Ruvuvu
Rais Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na wananchi wa ngara baada ya kuzindua kivuko cha Mv Ruvuvu

No comments:

Post a Comment